• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara Kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Manyoni District Council
Manyoni District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • History
        • Orodha Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
      • Mchoro wa Kiutawala
      • Picha Ya Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala & Utumishi
        • Majukumu ya Idara
        • Legal Seatings on Council's level
        • Department Information
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi & Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Utawala wa Mazingira na Usafi
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
      • Huduma Zetu
        • Afya
        • Elimu
        • Maji
        • Kilimo
        • Mifugo
        • Uvuvi
    • Kilimo cha Korosho
    • Msimu wa mashamba ya Korosho 2019/2020
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba Ya Picha
    • Matokeo ya Kidato cha Pili 2018

VYETI VYA KUZALIWA KUTOLEWA BURE KWA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO MANYONI

Imewekwa Mtandaoni mnamo: March 11th, 2019

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Ndugu Charles Edward Fussi amezindua Semina ya mafunzo ya usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa mtoto walio chini ya miaka mitano (Under five birth registration program) Mpango ambao  unalenga kuongeza idadi kwa kiasi kikubwa cha Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka mitano, sambamba na kuboresha mfumo wa usajili Tanzania Bara.

Ndg Charles Fussi amesema kuwa Shughuli hii hapo awali ilikuwa ikifanyika katika ofisi ya Katibu Tawala wa Wilaya na sasa usajili huu umehama kutoka serikali kuu kwenda ofisi za serikali za mitaa. Utekelezaji wa mfumo huu utafanyika kwa mifumo ya afya na serikali za mitaa iliyopo

Usajili huu ni muhimu kwasababu utamsaidia mtoto kupata cheti cha kuzaliwa bure kabisa na Cheti cha kuzaliwa kitamsaidia mtoto katika mambo mbaliambali ikiwemo  kumpa mtoto utambulisho wa awali, Kitamuwezesha Mtoto kupata elimu na maisha bora ambapo pamoja na kwamba ni haki yake na kitaweza kumlinda katika kuzuia ajira lakini pia kitampa uwezo wa kuendelea kupata utambulisho zaiddi katika kutambua utaifa wake kwenye kitambulisho cha taifa n ahata kupata hati ya kusafiria.

Katika zoezi hili la kusajili na kutoa vyeti Halmashauri ya wilaya ya Manyoni ina lengo la kuwafikia watoto Zaidi ya 38000, zoezi ambalo limepangwa kufikiwa ndani ya siku 12 za kampeni ambayo itaanza rasmi tarehe 15 March 2019 na litafanyika katika vituo 52, zikiwemo ofisi za kata 19 na Vituo vya tiba 33 na litafanyika katika vijiji vyote 58 vya halmashauri ya Wilaya ya Manyoni panoja na mamlaka ya mji mdogo wa Manyoni.

Zoezi hili linategemea kusajili Watoto kwa asilimia kubwa ukilinganisha na usajili wa kawaida wa uliokuwepohapo awali ambapo kwa mujibu wa takwimu za mwaka jana usajili ulifanyika na kutoa vyeti kwa Watoto kwa 13%

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Darasa la nne (SFNA) 2020 MANYONI January 15, 2021
  • JINSI YA KUPATA SHAMBA LA KOROSHO MSIMU WA 2019/2020 May 13, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waziri Lukuvi apiga marufuku viongozi wa Vijiji na Vitongoji kuuza ardhi

    January 11, 2021
  • TRC NA MIKAKATI YA UREJESHO WA HALI ZA MAISHA KATIKA MRADI WA SGR MANYONI

    December 23, 2020
  • Baraza lahimizwa kuweka kipaumbele katika Viwanda na uzalishaji wa Malighafi

    December 18, 2020
  • Naibu waziri wa kartiba na Sheria Mh. Geofrey Mizengo Pinda atembelea Manyoni.

    December 14, 2020
  • Angalia zote

Video

Ngoma za asili Siku ya UKIMWI Duniani
video zingine

Kurasa za Karibu

  • About Manyoni
  • Completed Projects
  • Ongoing Projects
  • Primary Schools Students Registration (Prem)
  • Instagram

Tovuti Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • President's Office, Public Service Management
  • Singida Region
  • Necta
  • Kupata Salary Slip

Fuatiliaji ya watembezi wa Kidunia

world map hits counter

Kihesabia Watembezi

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni

    Sanduku la Posta: S.L.P 60, Manyoni

    Simu: +255 26 2540136

    Namba ya Simu: +255 712 028027

    Barua Pepe za Watumishi: ded.manyonidc@singida.go.tz, ded@manyonidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za Siri
    • Malalamiko
    • Maswali ya Mara Kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki Ya Kunakiri ©2019 Halmashauri Ya Wilaya Ya Manyoni . Haki Zote Zimehifadhiwa.